Maelezo ya mandhari hii

Agano Jipya

Ukurasa wa 95 kati ya 189

Urahisi wa kusoma

GRM 128

Injili Kama Ilivyofunuliwa Kwangu

Maelezo

Mtu mwenye ukoma (kijana) anamjia Yesu. Amekuwa na uasherati na mwanamke mrembo. Ukoma huo ndio umeanza kuonekana na anakaribia kuhukumiwa. Anaomba rehema za Mungu, lakini hakutubu kwa dhati na kwa moyo wote. Yesu anampa uponyaji wa kimwili, si kwa ajili ya kijana huyo, bali kwa ajili ya mama yake. Kisha anatoa mahubiri kuhusu kutamani mke wa mtu mwingine.

Maneno kuu